Nenda kwa yaliyomo

Theobadi wa Dorat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Theobadi wa Dorat (La Bazeuge, 990 hivi - Dorat, 6 Novemba 1070) alikuwa kanoni wa Dorat, aliyepewa kazi ya kusimamia kanisa akawa maarufu kwa sababu hakuliacha kamwe, isipokuwa kwa kutembelea na kuhudumia wagonjwa[1][2] [3].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu padri au shemasi.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Novemba[4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Saint Theobald of Dorat – Saint of the Day – November 6". Catholic Daily Readings.
  2. "Saint Theobald". Nominis (kwa Kifaransa).
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/76340
  4. Martyrologium Romanum
  • (Kifaransa) Guillaume Lavaud, Le dossier hagiographique des saints Israël et Théobald du Dorat, "Saint Israël, chanoine de l’An Mil - Etablissements canoniaux, pouvoir épiscopal et seigneuries laïques au temps des premiers Capétiens, Limousin et royaume de France", international colloquium organised by Université de Limoges and the CRIHAM, November 2014, Limoges-Le Dorat, France. Éd. Lavaud, 2020.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.