The Kershaw Sessions

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The Kershaw Sessions
The Kershaw Sessions Cover
Studio album ya Remmy Ongala
Imetolewa 1994[1]
Imerekodiwa Miaka ya 1990
Aina Muziki wa dansi
Lebo London : Strange Roots
Mtayarishaji Remmy Ongala (Mtayarisha Mkuu)
Dale Griffin
Martin Parker
Wendo wa albamu za Remmy Ongala
"Sema"
(1995)
The Kershaw Sessions'
(1994/1995)
Single za kutoka katika albamu ya The Kershaw Sessions
  1. "Naruti Nyumbari"
  2. "Bwana Mdogo"
  3. "Niseme Nini"
  4. "Kilio"
  5. "Waseme Waseme"
  6. "Amisa"


"The Kershaw Sessions" ni jina la albamu kutoka kwa mwanamuziki wa muziki wa dansi mwenye asili ya Kongo-Tanzania, Remmy Ongala. Albamu imetoka mwaka 1994 kwa mujibu wa mtandao wa Discogs[2] na WorldCat[3]—vilevile 1995 kwa mujibu wa mtandao wa Allmusic[4], MuzikiekWeb[5] na RateYourMusic.[6]

Albamu ilitayarishwa jijini London, Uingereza kupitia studio za Strange Roots—chini ya usimamizi wa mhandisi wa muziki mbalimbali ikiwa ni pamoja na John Taylor (nyimbo: 5-8), Mike Robinson (nyimbo: 1-4), Ralph Jordan (nyimbo: 9-12), Simon Askew (nyimbo: 5-8). Mbali na wataalamu wa kupanga vyombo, bado kulikuwa na kikosi kazi cha Remmy kilichofanikisha utayarishaji wa albamu hii.

  • Bezi – Muhidini Haji (nyimbo: 1-8), Mussa Mangomba (nyimbo: 9-12)
  • Zimetungwa na – Cosmos Chidimule (nyimbo: 6), Remmy Ongala
  • Usanifu jalada – Kee Scott Associates|
  • Drama – Lawrence Chuki (nyimbo: 1-4), Yusuph Subwa (nyimbo: 5-12)
  • Gitaa – Batii Osenga Ipopolipo (nyimbo: 5-12), Freddy Mwalasha (nyimbo: 1-4), Ayas Hassan (nyimbo: 1-4 & 9-12), Kawele Mutimanwa (nyimbo: 9-12), Mjusi Shemboza (nyimbo: 5-8)
  • Noti za muziki – Steve Carnaby
  • Tumba – Saidi Jumaina (nyimbo: 1-4)
  • Picha na [Kava la Mbele] – Francis Drake
  • Picha na [Picha za Ndani ya Jalada] – Barbara Cheyne
  • Matayarishaji – Dale Griffin (nyimbo: 1-4 & 5-8), Martin Parker (nyimbo: 9-12)
  • Saxofoni – Matu Dikwndia (nyimbo: 1-4)
  • Sauti – Cosmos Chidumule (nyimbo: 5-8)
  • Sauti, Gitaa, Sauti za kusindikiza – Remmy Ongala (nyimbo: 1-12)

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Hii ni orodha ya nyimbo zinazopatikana katika albamu hii.

  1. Nasikitika
  2. Nifanyanini
  3. Dole
  4. Uzingizi
  5. Naruti Nyumbari
  6. Bwana Mdogo
  7. Niseme Nini
  8. Tupendane
  9. Kilio
  10. Waseme Waseme
  11. Maisha
  12. Amisa

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. [1] wavuti ya Discogs
  2. "Remmy Ongala - The Kershaw Sessions". Discogs (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-01-07. 
  3. Remmy Ongala: the Kershaw sessions. (kwa Swahili), Strange Roots, 1994, iliwekwa mnamo 2019-01-07 
  4. "Kershaw Sessions - Remmy Ongala | Credits". AllMusic (kwa en-us). Iliwekwa mnamo 2019-01-07. 
  5. The Kershaw sessions - Remmy Ongala - Muziekweb (kwa nl-NL), iliwekwa mnamo 2019-01-07 
  6. The Kershaw Sessions by Remmy Ongala, iliwekwa mnamo 2019-01-07