Tembo-bahari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tembo-bahari

Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Caniformia (Wanyama kama mbwa)
Familia: Phocidae (Wanyama walio na mnasaba na sili)
Jenasi: Mirounga
Gray, 1827
Ngazi za chini

Spishi 2:

Msambao wa tembo-bahari kaskazi (buluu)
Msambao wa tembo-bahari kaskazi (buluu)
Msambao wa tembo-bahari kusi (feruzi)
Msambao wa tembo-bahari kusi (feruzi)

Tembo-bahari (kutoka Kijerumani: see-elefant; jenasi Mirounga) ni wanyama wakubwa wa Bahari ya Pasifiki na Bahari ya Kusini wenye mkonga mfupi kama tembo.

Spishi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu "Tembo-bahari" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili see-elefant kutoka lugha ya Kijerumani. Neno (au maneno) la jaribio ni tembo-bahari.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.