Sili
Mandhari
(Elekezwa kutoka Phocidae)
Sili | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Sili wa Kawaida Phoca vitulina
| ||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Nusufamilia 2, jenasi 13 na spishi 19: |
Sili (Kisayansi: Phocidae) ni familia ya mamalia wenye mikono na miguu inayofanana na mapezi ya samaki.
Phocidae
[hariri | hariri chanzo]- Familia Phocidae
- Nusufamilia Monachinae
- Kabila Monachini
- Sili-mtawa wa Hawaii, Monachus schauinslandi (Hawaiian Monk Seal)
- Sili-mtawa wa Mediteranea, Monachus monachus (Mediterranean Monk Seal)
- †Sili-mtawa wa Karibi, Monachus tropicalis (~1950) (Caribbean Monk Seal)
- †Sili Koo-refu, Acrophoca longirostris (Swan-necked Seal)
- Kabila Miroungini
- Tembo-bahari Kaskazi, Mirounga angustirostris (Northern Elephant Seal)
- Tembo-bahari Kusi, Mirounga leonina (Southern Elephant Seal)
- Kabila Lobodontini
- Sili wa Ross, Ommatophoca rossi (Ross Seal)
- Sili Mlakaa, Lobodon carcinophagus (Crabeater Seal)
- Chui-bahari, Hydrurga leptonyx (Leopard Seal)
- Sili wa Weddell, Leptonychotes weddellii (Weddell Seal)
- Kabila Monachini
- Nusufamilia Phocinae
- Sungura-bahari, Erignathus barbatus (Bearded Seal)
- Sili-kifuniko, Cystophora cristata (Hooded Seal)
- Kabila Phocini
- Sili wa Kawaida Phoca vitulina (Common Seal)
- Sili Madoa or Larga Seal, Phoca largha (Spotted Seal)
- Sili Madoa-mapete, Pusa hispida (Ringed Seal)
- Sili wa Baikal, Pusa sibirica (Baikal Seal)
- Sili wa Kaspi, Pusa caspica (Caspian Seal)
- Sili wa Greenland, Pagophilus groenlandica (Harp Seal)
- Sili-milia, Histriophoca fasciata (Ribbon Seal)
- Sili Kijivu, Halichoerus grypus (Grey Seal)
- Nusufamilia Monachinae
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Sungura-bahari
-
Sili kijivu
-
Sili milia
-
Chui-bahari
-
Sili wa Weddell
-
Sili mlakaa
-
Tembo-bahari kaskazi
-
Tembo-bahari kusi
-
Sili-mtawa wa Mediteranea
-
Sili-mtawa wa Hawaii
-
Sili wa Ross
-
Sili wa Greenland
-
Sili madoa
-
Sili wa Kaspi
-
Sili madoa-mapete
-
Sili wa Baikal