Tektoniki ya sahani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tetoniki ya sahani (pia: Gandunia) ni nadharia inayofundisha kwamba sehemu ya nje ya dunia imevunjika vipandevipande vinavyohamahama. Tunaviita vipande hivi sahani. Sahani ni kama vipande vya fumbo. Vipande hivyo vinahama daima ingawa polepole, kiasi cha inchi 0-2 kwa mwaka, au kwa kasi kama kucha za vidole zinavyokua. Kwa jumla, kuna sahani kubwa saba na sahani nyingi ndogondogo.

Matetemeko ya ardhi na volikano hutokea kwa mipangilio (patterns) (njia iliyopangwa). Mwendo wa sahani unaeleza mipangilio hii. Matetemeko ya ardhi ni mwendo wa mapande (block or slabs) mawili ya miwamba yanapitiana. Miwamba inahama juu ya uso (bapa?) ambao unaitwa “fault.” Mara nyingine tunaona mwendo juu ya uso wa dunia. Mara nyingine mwendo unatokea ndani ya dunia. Kuna aina tatu ya matetemeko ya ardhi. Miwamba ingashindilia, wao ingavunjwa mbali au ingapitiana. Volkano ni mlima ambayo uwa na mwamba ulioyeyuka. Mwamba ulioyeyuka unatoka mlima katika mlipuko. Halafu, tunauitwa “lava.” Unaumba mwamba “igneous.” Kwa sababu kuna aina tofauti ya miwamba ulioyeyuka, kuna aina tofauti ya milipuko na aina tofauti ya miwamba “igneous” inaumbwa.

Matetemeko ya ardhi na volikano nyingi vinatokea mipakani mwa sahani. Kwa hiyo, matetemeko ya ardhi na volikano zinaonyesha sahani. Kuna aina tatu mipakani mwa sahani: zinaweza kwenda pamoja, zinaweza kwenda mbali, na zinaweza kupitiana.

Sahani ya Afrika inaenda mbali na sahani ya Amerika kaskazini, sahani ya Amerika kusini, sahani ya Antaktiki, na sahani ya Indo-Australia. Inaenda kuelekea sahani ya Eurasia. Lakini, sahani ya Afrika inatatizwa zaidi kwa kuwa inapasuka.

Mahali ambapo sahani zinakwenda mbali, au zinapasuka, tunapaitwa “Ufa" (rift). Bonde la Ufa la Afrika Mashariki (Great Rift Valley) ni mahali ambapo sahani ya Afrika inapasuka kutoka Bahari Nyekundu hadi pwani ya Msumbiji. Kupasuka huko kulianza miaka milioni 25 iliyopita. Kulianzia kaskazini na kuelekea kusini. Matetemeko ya ardhi na volikano vinaonyesha mahali pa mpasuko (split). Maziwa ya Afrika Mashariki yanaonyesha mahali hapo pia kwa sababu kupasuka kumeumba maziwa makubwa na ya kina sana. Kumeumba pia volikano, milima mikubwa na “escarpments” ndefu. Mamilioni ya miaka kutoka sasa, sahani ya Afrika itavunjika vipande viwili. Kutakuwa na bahari kati ya sahani mbili mpya.

Mamilioni ya miaka iliyopita, mabara yote ambayo tunayaona sasa yaliunganika pamoja katika bara moja inayoitwa Pangaea. Neno Pangaea linamaanisha “yote” na “dunia” katika Kigiriki. Pangaea ilianza kuunganika miaka milioni 335 iliyopita. Ilianza kupasuka miaka milioni 200 iliyopita. Sahani ya Afrika ilivunjika mbali kutoka sahani nyingine yote pol pole zaidi ya mamilioni ya miaka, kwanza kaskazini halafu kusini.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tektoniki ya sahani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.