Tawanda Manyimo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tawanda Manyimo ni mwigizaji wa filamu mwenye asili ya Zimbabwe.

Manyimo alizaliwa katika jiji la Bulawayo na kupata elimu ya msingi katika shule ya Tennyson Primary School pamoja na shule ya Milton High School, zote za nchini Zimbabwe.[1]

Manyimo akiwa na umri wa miaka 22 aliacha kazi nchini Zimbabwe na kuhamia New Zealand.[2][1]

Manyimo anaishi Titirangi.[2]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

  • The Rover (2014)
  • Ghost in the Shell (2017)
  • The Meg (2018)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Zim actor features in Hollywood movie. The Standard (21 August 2016). Iliwekwa mnamo 23 May 2017.
  2. 2.0 2.1 Ghost In The Shell: Kiwi actor stars alongside Scar-Jo in blockbuster. Stuff.co.nz (11 August 2016). Iliwekwa mnamo 23 May 2017.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tawanda Manyimo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.