Tanzania Daima
Mandhari
Tanzania Daima | |
---|---|
Jina la gazeti | Tanzania Daima |
Aina ya gazeti | Linatolewa kila siku |
Nchi | Tanzania |
Mhariri | Free Media Ltd. |
Makao Makuu ya kampuni | Dar es Salaam |
Tovuti | http://www.freemedia.co.tz |
Tanzania Daima ni gazeti kutoka Dar es Salaam, nchini Tanzania. Linatolewa kila siku kwa lugha ya Kiswahili na kampuni ya Free Media Limited inayotoa pia gazeti la FreeMedia.
Magazeti dada
[hariri | hariri chanzo]- Taifa Leo
- Dar Leo
- Habari Leo
- Majira
- Mzalendo
- Nipashe
- Saturday Nation
- Sunday Nation
- Business Daily Africa
- Daily nation Kenya
- Daily Monitor Uganda
- The Citizen (Tanzania)
- Mwananchi Tanzania
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Sanga, A. N. (2018). Mkengeuko wa ujumi wa kiafrika katika hadithi fupi andishi za kiswahili kipindi cha utandawazi: Mifano kutoka magazeti ya Habari Leo, Nipashe na Mwananchi (Doctoral dissertation, Chuo Kikuu cha Dodoma
- Sturmer, M. (1998). The media history of Tanzania (p. 32). Ndanda: Ndanda Mission Press.