Taifa Leo
Mandhari
Taifa Leo | |
---|---|
Jina la gazeti | Taifa Leo |
Nchi | Kenya |
Makao Makuu ya kampuni | Nairobi |
Tovuti | https://taifaleo.nation.co.ke/ |
Taifa Leo ni gazeti la kila siku nchini Kenya linalotolewa kwa lugha ya Kiswahili. Linauza takriban nakala 44,000 kwa siku, hivyo ni gazeti linaloandikwa kwa Kiswahili lenye wasomaji wengi katika Kenya.
Gazeti hilo ni sehemu ya kampuni ya hisa ya Nation Media Group.
Taifa Leo ni gazeti ambalo hutumika shuleni pia kujifunza Kiswahili nchini Kenya.
Magazeti dada
[hariri | hariri chanzo]- Nipashe
- Saturday Nation
- Sunday Nation
- Business Daily Africa
- Daily Nation Kenya
- Daily Monitor Uganda
- The Citizen Tanzania
- Mwananchi Tanzania
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Meitamei, A., & Omari, O. J. (2012). Taifa Leo Newspaper as a Tool for Teaching and Learning Swahili Language in Secondary Schools in Kenya.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |