Nipashe
Mandhari
| Nipashe | |
|---|---|
| Jina la gazeti | Nipashe |
| Nchi | Tanzania |
| Makao Makuu ya kampuni | Dar es Salaam |
| Tovuti | https://www.ippmedia.com/sw/nipashe |
Nipashe ni gazeti la kila siku kutoka Dar es Salaam nchini Tanzania linalotolewa kwa lugha ya Kiswahili. Ni gazeti mojawapo linaloandikwa kwa Kiswahili lenye wasomaji wengi katika Tanzania.
Gazeti dada
[hariri | hariri chanzo]Majarida
[hariri | hariri chanzo]- Spotika - kila jumatatu
- Teknolojia, elimu na sayansi (TESA) - kila jumannne
- Siasa - kila jumatano
- Afya na mazingira (AMA) - kila alhamisi
- Biashara, uchumi na fedha (BUFE) - kila ijumaa
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Sanga, Aginiwe Nelson (2018). Mkengeuko wa ujumi wa kiafrika katika hadithi fupi andishi za kiswahili kipindi cha utandawazi: Mifano kutoka magazeti ya Habari Leo, Nipashe na Mwananchi (Doctoral dissertation, Chuo Kikuu cha Dodoma).
Majukwaa ya kidijiti
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |