Nenda kwa yaliyomo

Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (kwa kifupi TASUBA) ni taasisi ya kiserikali ya mafunzo, utafiti na ushauri katika sanaa. Taasisi hiyo ilianzishwa rasmi na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwa na lengo la kutoa elimu ya sanaa, kutangaza [1]sanaa na utamaduni, kutoa elimu ya kimaadili kwa wasanii, elimu ya filamu na elimu nyingine kwa faida ya jamii na wasanii.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

TASUBA ilianzishwa rasmi chini ya tangazo namba 30 la wakala wa utendaji ya mwaka 1997 na kutolewa tangazo la serikali namba 220 la mwaka 2007.

Taasisi hiyo ni zao la Chuo cha Sanaa Bagamoyo, kilichoanzishwa mwaka 1962 [2][3]

  1. https://www.schoolandcollegelistings.com/TZ/Bagamoyo/1495193530767653/Taasisi-ya-Sanaa-na-Utamaduni-Bagamoyo
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-09. Iliwekwa mnamo 2021-01-08.
  3. "Tamasha la Bagamoyo". @GI_weltweit. Iliwekwa mnamo 2021-02-08.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.