Susanna Höller

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Susanna Höller (alizaliwa 25 Aprili 1989) ni mchezaji wa soka wa nchini Austria na ambae anacheza kama beki kwenye timu ya wanawake ya VfL Sindelfingen ya nchini Ujerumani kwenye ligi daraja la pili ya Bundesliga.[1] Susanna ni mchezaji wa timu ya taifa ya Austria.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Profile in Sindelfingen's website
  2. Profile in UEFA's website
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Susanna Höller kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.