Nenda kwa yaliyomo

Stokingi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Msichana akiwa amevaa stokingi

Stokingi (kutoka neno la Kiingereza "stocking") ni soksi ndefu zinazofika kwenye magoti na mara nyingi huvaliwa pamoja na kaptura au bukta.

Stokingi pia ni soksi ndefu za wanawake zinazofika kwenye mapaja au kiuno; soksi hizi huvaliwa haswa na wauguzi.

Zinaweza kuwa za uzito na rangi mbalimbali.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stokingi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.