Nenda kwa yaliyomo

Soksi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Soksi za rangi mbalimbali.
Soksi fupi.
Soksi ndefu nyeupe.

Soksi (kutoka neno la Kiingereza "sock", wingi "socks") ni vazi linalovaliwa miguuni kisha viatu kwa lengo la kuupa mguu joto na kuulinda dhidi ya vitu mbalimbali, hasa baridi.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Soksi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.