Nenda kwa yaliyomo

Shweshwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwanamke wa Kisotho aliyevalia gauni la shweshwe ya kahawia

Shweshwe, ni kitambaa cha pamba kilichotiwa rangi kinachotumika sana katika mavazi ya kitamaduni huko Kusini mwa Afrika . Awali ilikua ni rangi ya indigo, kitambaa hiki hutengenezwa kwa rangi na miundo mbalimbali ya uchapishaji. [1] [2] [3] Kutokana na umaarufu wake, shweshwe imeelezwa kuwa ni denim, [3] au tartan, ya Afrika Kusini.

Wanawake wa Xhosa waliovalia vazi la kitamaduni la shweshwe
Mwanamke wa Xhosa aliyevaa kitambaa kichwani kilichotengenezwa kwa rangi ya indigo ya shweshwe (upande wa kulia)

Jina la shweshwe limetokana na uhusiano wa kitambaa hicho na Mfalme wa Lesotho Moshoeshoe I, pia hutamkwa "Moshweshwe". Moshoeshoe alizawadiwa kitambaa hicho na wamisionari wa Ufaransa mnamo miaka ya 1840.

  1. deVillemarette, Cynthia (Julai–Agosti 2010). "Shweshwe: A True Blue Passion". The Country Register of Tennessee & Kentucky. The designs are created using a discharge process, unlike modern printed fabrics where color is added to the surface. With Shweshwe, the cotton cloth is first entirely dyed, thoroughly penetrating the fiber. Then, the cloth is passed through copper design rollers, which emit a mild acid solution, removing color with pinpoint accuracy. One of the characteristics of Shweshwe is the intense use of picotage, tiny pin dots that create not only the designs, but also texture and depth. It is because of the difficulty and expense in creating these designs that they fell out of favor with American and European manufacturers, who chose instead to move to printing processes. Da Gama Textiles of South Africa is the only known manufacturer of fabrics still using the discharge process ... The reverse side of the fabric will be a solid color because it was dyed. Da Gama also prints its seal on the back to help you identify it.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Rovine, Victoria L. (2012). "Handmade textiles: global markets and authenticity". Katika Dudley, Sandra H. (mhr.). Museum Objects: Experiencing the Properties of Things. Oxon: Routledge. ku. 276–277. ISBN 9781135721473.
  3. 3.0 3.1 Davie, Lucille (18 Novemba 2013). "Shweshwe, the denim of South Africa". Media Club South Africa. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 Januari 2014. Iliwekwa mnamo 20 Januari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)