Sergi Roberto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sergi Roberto akiwa Barcelona

Sergi Roberto Carnicer (aliyezaliwa Februari 7, 1992) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anachezea timu ya FC Barcelona na timu ya taifa ya Hispania. Roberto anaweza kucheza kama beki, kiungo wa kati, kiungo mkabaji au winga.

Mtindo wa kucheza[hariri | hariri chanzo]

Sergi Roberto ana kiwango kikubwa akiwa nyuma kama beki, lakini pia anaweza kucheza katikati. Katika msimu wa 2016-17, chini ya Luis Enrique, alicheza nafasi saba tofauti. Uchangamano huu, pamoja na kasi yake, nguvu, kiwango cha kazi kali na kupitisha pasi sahihi kulimpa sifa meneja Luis Enrique kwamba ni meneja mzuri.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sergi Roberto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.