Luis Enrique

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Luis Enrique kama kocha wa FC Barcelona 2014

Luis Enrique Martínez (anajulikana kama Luis Enrique tu; alizaliwa 8 Mei 1970), ni mchezaji wa zamani wa soka kutoka Hispania aliyekuwa meneja wa klabu ya FC Barcelona.

Enrique ni mchezaji aliyecheza katika nafasi mbalimbali na pia ni mchezaji mwenye mbinu nzuri, lakini mara nyingi alicheza kama kiungo au kama fowadi.

Enrique alianza kufanya kazi kama meneja mwaka 2008 na Barcelona B na miaka mitatu baadaye, alihamia AS Roma.

Katika msimu wa 2013-2014 alihamia Celta Vigo, kabla ya kurudi Barcelona alishinda ligi katika msimu huo wa kwanza.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Luis Enrique kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.