Nenda kwa yaliyomo

Sandra Nabweteme

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru



Sandra Nabweteme
Nchi Uganda
Kazi yake mchezaji wa soka




Sandra Nabweteme (alizaliwa 1 Novemba 1996) ni mchezaji wa soka wa nchini Uganda, ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya FH women's football na timu ya Taifa ya kandanda ya wanawake ya Uganda.[1] Mnamo mwaka 2015, alitangazwa kama mchezaji bora wa kike wa mwaka katika mashindano ya FUFA.[2]

  1. "Sandra Nabweteme", Dallas Weekly, 20 November 2019. Retrieved on 2022-03-01. Archived from the original on 2021-05-03. 
  2. "Nabweteme hopes Iceland move helps in career rebuild", Daily Monitor, 22 March 2021. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sandra Nabweteme kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.