Sandra A. Mushi
Mandhari
| Sandra A. Mushi | |
|---|---|
| | |
| Alizaliwa | 28 Februari 1974 |
| Nchi | Tanzania |
| Kazi yake | Msanifu |
Sandra Aikaruwa Mushi (alizaliwa 28 Februari 1974) ni mwanamke Mtanzania ambaye ni msanifu wa mambo ya ndani ya majengo na mwanzilishi wa kampuni ya Creative Studios Limited mjini Dar es Salaam, Tanzania.[1].
Pia ni mwanachama wa International Interior Design Association na The African Institue Of Interior Design Professions Ilihifadhiwa 5 Septemba 2018 kwenye Wayback Machine.[2] na mwandishi wa hadithi[3][4] na mashairi[5] yanayolenga matatizo na changamoto wanazopata wanawake na watoto.
Hadithi zake
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.sheroes.co.tz/sheroes.html Ilihifadhiwa 8 Machi 2019 kwenye Wayback Machine. iliangaliwa tar 7 March 2019
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-11-05. Iliwekwa mnamo 2018-09-24.
- ↑ http://www.authorsden.com/visit/viewshortstories_all.asp?Authorid=28003&order=title&page=1
- ↑ Author - Sandra A. Mushi Ilihifadhiwa 18 Julai 2019 kwenye Wayback Machine. kwenye tovuti ya www.africanwriter.com, iliangaliwa Septemba 2018
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-02-02. Iliwekwa mnamo 2018-09-08.
- ↑ Shattered Dreams: Fiction by Sandra A. Mushi Ilihifadhiwa 24 Agosti 2019 kwenye Wayback Machine., kwenye tovuti ya www.africanwriter.com, iliangaliwa Septemba 2018
- ↑ Stains on My Khanga, kwenye tovuti ya goodreads.com, iliangaliwa septemba 2018
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sandra A. Mushi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |