Samir Beloufa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Samir Beloufa (kwa Kiarabu: سمير بلوفة; alizaliwa 27 Agosti 1979) ni mwanasoka wa zamani wa Algeria ambaye alicheza kama beki wa kati. [1]

Kazi yake Katika Klabu[hariri | hariri chanzo]

Beloufa' alicheza katika Ligi ya Serie A ya Italia aliyoichezea Timyu ya AC Milan, na Monza katika Serie B. Pia alichezea klabu kama Mouscron na Germinal Beerschot nchini Ubelgiji.

Kazi yake Kitaifa[hariri | hariri chanzo]

Beloufa alicheza mechi tisa katika timu ya taifa ya Algeria tangu 2004.[2] Alikuwa sehemu ya timu ya Algeria mwaka 2004 kuwania Kombe la Mataifa ya Afrika, ambayo walishika naafasi ya pili katika kundi lao kwenye mzunguko wa kwanza wa mashindano kabla ya kushindwa na Morocco katika robo-fainali.

Takwimu za kazi[hariri | hariri chanzo]

Kimataifa

Timu Ya Taifa Ya Algeria
Mwaka Programu Magoli
2004 7 0
2005 1 0
2006 1 0
Jumla 9 0

Heshima[hariri | hariri chanzo]

AC Milan

  • Torneo di Viareggio 1999

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.fff.fr/equipe-nationale/joueur/10124-beloufa-samir/fiche.html
  2. "La Fiche de Samir BELOUFA". DZ Foot. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 August 2012. Iliwekwa mnamo 6 July 2009.  Unknown parameter |df= ignored (help); Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samir Beloufa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.