Nenda kwa yaliyomo

Sabrina Horvat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Horvat mnamo 2015
Horvat mnamo 2015

Sabrina Horvat (alizaliwa 3 julai 1997 ) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Austria ambaye anacheza kama beki wa klabu ya FC Köln ya Frauen-Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya wanawake ya Austria