Nenda kwa yaliyomo

Rojeri wa Canne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha takatifu ya Mt. Rojeri katika mavazi ya kiaskofu.

Rojeri wa Canne (Canne, Barletta, 1060 - Canne, 30 Desemba 1129) alikuwa askofu wa mji huo wa Italia Kusini[1] [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Desemba.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Doronzo Giuseppe, San Ruggero da vescovo di Canne a protettore di Barletta, Ed. Rotas, Barletta 1998.
  • Monterisi Nicola, Leggenda e realtà intorno a S. Ruggiero vescovo di Canne e patrono di Barletta, Laghezza, Barletta 1905.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.