Nenda kwa yaliyomo

Roberto Di Matteo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Di matteo
Di Matteo mwaka 2015.

Roberto Di Matteo (alizaliwa 29 Mei 1970) ni mchezaji wa zamani wa soka wa Italia. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Italia. Ni kocha mzuri.

Tangu katikati ya mwaka 2008, ndiye meneja wa timu ya soka ya Uingereza, Milton Keynes Dons F.C. (pia inajulikana kama MK Dons)

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roberto Di Matteo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.