Ritifaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ritifaa (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: "apostrophe", kutoka Kigiriki ἀποστροφή, apostrofee, "ondoleo") ni alama ya uakifishaji inayoandikwa '.

Alama hiyo inaonyesha pengine kwamba herufi au silabi imeanguka au kupunguzwa, kwa mfano katika shairi, lakini katika herufi "ng'" inatofautisha fonimu husika na nyingine inayofanana (ng).

Ritifaa ni pia tamathali ambayo msemaji anajifanya kama kwamba anaongea na kitu au kiumbe asiye hai ingawa anajua vizuri kuwa hawezi kusikiwa.

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ritifaa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.