Rio Negro
Mandhari
Río Negro inamaanisha "Mto Mweusi" katika lugha za Kihispania na Kireno. Inaweza kutaja:
Mito
[hariri | hariri chanzo]Brazil
[hariri | hariri chanzo]- Rio Negro (Amazonas), tawimto la Mto Amazonas
- Rio Negro (Mato Grosso do Sul)
- Rio Negro (Parana)
- Rio Negro (Rio de Janeiro)
- Rio Negro (Rondonia)
- Rio Negro (Tocantins)
Amerika Kusini (nje ya Brazil)
[hariri | hariri chanzo]- Rio Negro (Argentina), huko Patagonia
- Rio Negro (Los Lagos), kusini mwa Chile
- Rio Negro (Uruguay), tawimto la Mto Uruguay
- Rio Negro (Chaco) huko Argentina, tawimto la Mto Parana
Amerika ya Kati
[hariri | hariri chanzo]- Rio Negro (Amerika ya Kati), kwenye mpaka wa Honduras na Nikaragua
- Mto Chixoy, unaojulikana pia kama Rio Negro, huko Guatemala
Migawanyiko ya kisiasa
[hariri | hariri chanzo]Amerika Kusini
[hariri | hariri chanzo]- Mkoa wa Río Negro, Argentina
- Rio Negro, Parana, manispaa nchini Brazil
- Rio Negro, Mato Grosso do Sul, manispaa ya Brazil
- Rio Negro, Chile, mji katika Mkoa wa Osorno
- Rionegro, mji na manispaa nchini Kolombia
- Rionegro, Santander, mji na manispaa nchini Kolombia
- Mkoa wa Rionegro, Kolombia
- Wilaya ya Río Negro, Uruguay
- Rio Negro, manispaa nchini Venezuela