Rigo Star

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rigobert Bamundele (anajulikana kama Rigo Star) ni mpiga gitaa na mtunzi wa muziki wa soukous nchini Kongo. Rigo kwa sasa anaishi katika mji wa Paris nchini Ufaransa.

Ameshirikiana kwenye kazi za muziki na baadhi ya wasanii wakubwa wa muziki wa Hip hop pamoja na wasanii wa bongo Hip Hop kama Amber The Viva La Musica, Bozi Boziana's Anti-Choc, Kanda Bongo Man, Koffi Olomide, Kelele, Kékélé, na Paul Simon na Fally Ipupa katika albamu yake ya mwaka 2009.[1] Pia alitoa albamu chache mnamo mwaka 1998 kama vile Attention! avec Sam Mangwana.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Stephin Merritt, Rigo Star and Ringo Starr
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rigo Star kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.