Nenda kwa yaliyomo

Richard Wherrett

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Richard Bruce Wherrett(10 Desemba 1940 - 7 Desemba 2001) alikuwa mwanachama na mkurugenzi wa Agizo la Australia (AM), ambaye kazi yake hiyo ilidumu kwa takribani miaka 40. Anajulikana pia kwa kuwa mkurugenzi mwanzilishi wa kampuni ya Sydney Theatre mnamo mwaka 1979.

Maisha ya awali, elimu na familia

[hariri | hariri chanzo]

Richard Wherrett alikuwa mdogo wa mwandishi wa habari wa magari ajulikanaye kwa jina la Peter Wherrett.[1] Baba yao alikuwa mnyanyasaji na mlevi.[2]

Alisoma katika shule ya Trinity Grammar (New South Wales) huko Sydney, kabla ya kujiunga na Chuo Kikuu cha Sydney, ambapo alihitimu na Shahada ya Sanaa mnamo mwaka 1961.[1] Wanafunzi wenzake chuoni walikua ni Clive James, Germaine Greer, Bruce Beresford, Mungo Wentworth MacCallum , Bob Ellis, John Bell (mwigizaji wa Australia), John Gaden, Laurie Oakes na Les Murray (mshairi).

Alifundisha Kiingereza na Historia ya Kale katika shule ya Trinity Grammar kwa miaka minne.

Wherrett alikuwa shoga tangu alipokuwa na umri wa miaka 17. Walakini, alikuwa na uhusiano uliokuwa wazi na mwigizaji Jacki Weaver kwenye miaka ya 1970.[2]

  1. 1.0 1.1 "Richard Wherrett AM 1940-2001". Live Performance Australia. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Machi 2019. Iliwekwa mnamo 22 Septemba 2012. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 David Leser, "The Demons That Drive Richard Wherrett", Sydney Morning Herald, CorkFloor, 9 June 1995 Archived 29 Aprili 2013 at the Wayback Machine.. Retrieved 9 July 2013
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Wherrett kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.