Richard Mganga Ndassa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Richard Mganga Ndassa (amezaliwa tar. 21 Machi 1959) ni mbunge wa jimbo la Sumve katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Richard Mganga Ndassa (19 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.