Rethabile Ramaphakela
Rethabile Ramaphakela (alizaliwa 13 Aprili 1987) ni mwigizaji na muongozjai wa filamu wa Afrika Kusini.[1] Anajulikana zaidi kama muongozaji na mtayarishaji wa filamu na tamthilia mbalimbali za televisheni ya Bedford Wives na The Bang Bang Club.[2]
Maisha binafsi
[hariri | hariri chanzo]Rethabile ni dada wa kaka wawili Tshepo Katleho Ramaphakela.
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Rethabile ni mtangazaji wa kituo cha telesheni cha KTV, mwaka 2010 yeye pamoja na kaka zake walianzisha kampuni ya filamu ya Burnt Onion.[3] Mwaka 2014 alicheza katika filamu ya The Bang Bang Clubalitengeza filamu ilobeza katika kuzungumzia vita vya Goodbye Thokoza vita vya mwaka 1980 .[4] baadae alitengeza pia filamu ya kwenye runinga ya Thur no Thulani, Kota Life Crisis na Check Coast through the production house.[5]
Mwaka 2020,aliongoza filamu ya vichekesho ya Seriously Single pamoja na kaka yake Katleho Ramaphakela.[6] ilotoka tarehe 13 Julai 2020 chini ya Netflix.
Sanaa
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | filamu | uhusika | aina ya sanaa | marejeo. |
---|---|---|---|---|
2010 | The Bang Bang Club | Muigizaji: mwandishi wa Habari mwanamke | Filamu | |
2014 | Check Coast | Muandishi | Muendelezo wa filamu za televisheni | |
2015 | My Perfect Family | Mtayarishaji mkuu, mhariri | Muendelezo wa filamu za televisheni | |
2017 | Bedford Wives | Mtayarishaji mkuu | Muendelezo wa filamu za televisheni | |
2020 | Seriously Single | muongozaji, Mtayarishaji mkuu | Filamu |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Rethabile Ramaphakela: Director". MUBI. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-27. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2020.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "A successful movie maker and clever businesswoman". Sowetan Live. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Rethabile Ramaphakela joins the call for more African creators to attend MIPTV "to be here to plant the seeds" – MIPTV News". mipblog. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "A successful movie maker and clever businesswoman". Sowetan Live. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Rethabile Ramaphakela - Ten years in film & tv production - and still going strong". The Bar. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Seriously Single's Bohang Moeko and Yonda Thomas reflect on love and dating". news24. Iliwekwa mnamo 8 Novemba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rethabile Ramaphakela kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |