Rasi ya Tumaini Jema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Rasi za Tumaini Jema na Agulhas nchini Afrika Kusini

Rasi ya Tumaini Jema (ing. Cape of Good Hope) ni mkono wa nchi unaoingia katika Atlantiki kwenye kusini ya bara la Afrika karibu na mji wa Cape Town (Afrika Kusini). Si mahali pa kusini kabisa ya Afrika ambapo ni Rasi Agulhas.

Jina limetokana na wapelelezi Wareno waliofika hapa mnamo mwaka 1488. Baada ya kutafuta kwa muda mrefu njia ya kufika Uhindini waliona hapa tumaini kwa sababu pwani lilikwisha kuelekea kusini. Mreno wa kwanza aliyeiona alikuwa Bartolomeu Dias.

SouthAfricanStub.png Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rasi ya Tumaini Jema kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.