Ramires

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ramires Santos do Nascimento (anajulikana kama Ramires tu; matamshi ya Kireno cha Brazil: [ʁamiɾes sɐtus du nasimẽtu]; alizaliwa Machi 24, 1987) ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza klabu ya China Jiangsu Suning.

Ramires aliwahi kuchezea vilabu vikubwa Ulaya kabla ya kutimkia China. Alichezea Benfica ya Ureno na Chelsea ya Uingereza.

Ramires alikuwa mmoja wa kikosi cha Chelsea kilichoshinda kombe la ligi ya Mabingwa Ulaya msimu wa 2011-12 dhidi ya Bayern Munich uwanjani Allianz Arena, Munich.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ramires kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.