Ramadhan Chombo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramadhan Chombo
Maelezo binafsi
Jina kamili Ramadhan Seleman Chombo
Tarehe ya kuzaliwa 9 Desemba 1987
Mahala pa kuzaliwa    Tanga, Tanzania
Urefu 1.74 m
Nafasi anayochezea Kiungo wa kati
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Tanzania

* Magoli alioshinda

Ramadhan Chombo (alizaliwa Desemba 9, 1987) ni mchezaji wa soka nchini Tanzania, ambaye anacheza kama kiungo wa kati katika klabu ya Biashara United F.C [1]

Amechezea vilabu mbalimbali nchini Tanzania kabla ya kasainiwa katika klabu ya Biashara United, Simba S.C (2009 - 2010, 2012 - 2014), Azam F.C (2010 - 2012), Villa Squad (2014 - 2016), Mbeya City (2016 - 2017), Friends Rangers (2017 - 2018), Africa Lyon (2018 -2019) na Biashara United (2020 -2023).[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. [1] at National-Football-Teams.com
  2. Benjamin Strack-Zimmermann. "Ramadhan Seleman Chombo (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-10. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ramadhan Chombo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.