Raúl Castro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Raúl Castro, July 2012.jpeg

Raúl Modesto Castro Ruz (amezaliwa 3 Juni, 1931) ni mwanasiasa wa nchi ya Kuba.

Kuanzia miaka ya 1950 alikuwa mwanaharakati akipinga udikteta wa jenerali Fulgencio Batista.

Baada ya kushinda vita dhidi ya Batista mwaka wa 1959, akawa waziri wa jeshi ndani ya serikali ya Kuba.

Tangu mwaka 2006 alimfuata kaka yake Fidel Castro kuwa rais wa nchi.

Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Raúl Castro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.