Queen Nwokoye
Queen Nwokoye (amezaliwa 11 Agosti 1982) ni mwigizaji wa Nigeria.[1][2] Anajulikana sana kwa kuigiza kama mhusika katika filamu inayoitwa "Chetanna" mwaka 2014 ambayo ilimpatia uteuzi wa" Mwigizaji Bora "katika Tuzo za 11 za Filamu za Afrika.[3]
Maisha ya mwanzo na elimu
[hariri | hariri chanzo]Nwokoye alizaliwa katika jimbo la Lagos katika familia ya Kikatoliki lakini anatoka Ihembosi katika serikali ya mtaa ya Ekwusigo ya jimbo la Anambra Nigeria).[4] Alianza Elimu yake katika shule ya msingi ya Air Force. Alimaliza masomo yake ya sekondari katika chuo cha Queen, Enugu kabla ya kwenda chuo kikuu cha Nnamdi Azikiwe Awka, Anambra State ambapo alisoma sosholojia na anthropolojia. Alitamani ya kuwa wakili.[4]
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Tangu aanze kuigiza mnamo 2004 katika filamu inayoitwa "Nna Men", Nwokoye ameendelea kuigiza katika filamu kadhaa za Nigeria, akishinda tuzo na kupata jina.[5][6]
Maisha binafsi
[hariri | hariri chanzo]Queen Nwokoye ameolewa na Bwana Uzoma na wamejaliwa watoto watatu wavulana mapacha[7] na binti mmoja.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nollywood: Queen Nwokoye, Rachel Okonkwo allegedly fight over movie role". Daily Post Nigeria. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "In Session With The Talented Queen Nwokoye, Ada Mbano Of Nollywood". guardian.ng. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Will Ini Edo win 2015 AMAA Best Actress award tonight?". Vanguard News. 26 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 4.0 4.1 H. Igwe (6 Oktoba 2015). "I Actually Wanted To Be A Lawyer But It Did Not Work Out – Actress Queen Nwokoye". Naij.com - Nigeria news. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Chidumga Izuzu (11 Agosti 2015). "Queen Nwokoye: 5 things you probably don't know about actress". pulse.ng. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-05-20. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "AMAA Best Actress: Queen Nwokoye Hopeful To Beat Ini Edo And Jocelyn Dumas". Entertainment Express. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Actress Queen Nwokoye Shares Picture Of Her Twin Sons". INFORMATION NIGERIA. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Queen Nwokoye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |