Pumla Kisosonkole

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pumla Ellen Ngozwana Kisosonkole; (1911-1997) alikua mwanasiasa na mwanaharakati katika mashirika ya wanawake kutokea nchini Uganda.

Wasifu.[hariri | hariri chanzo]

Pumla Ellen Ngozwana alizaliwa mwaka 1911 huko Afrika ya kusini katika familia ya wahudumu wa kanisa la Methodisti[1]. Alipata elimu yake katika shule za misheni na kusoma katika chuo cha Fort Hare kilichopo Alice,Rasi ya mashariki.[2] Alisafiri kwenda London kwaajili ya kuendeleza elimu yake katika taasisi ya elimu kisha akaandika kitabu kidogo kilichoitwa "Education as I Saw It in England" Elimu nilivyoiona nikiwa uingereza.

Marejeo.[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pumla Kisosonkole kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.