Nenda kwa yaliyomo

Prince Paul (mtayarishaji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Prince Paul

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Paul Huston
Asili yake Amityville, New York, Marekani
Aina ya muziki Hip hop, R&B
Kazi yake Mtayarishaji wa rekodi, mwimbaji na DJ
Miaka ya kazi 1985–
Studio Tommy Boy/Warner Bros. Records
Elektra Records
WordSound Records
Razor and Tie Records
Ame/Wameshirikiana na Stetsasonic
Handsome Boy Modeling School
Gravediggaz
De La Soul
MC Paul Barman
Chris Rock
Big Daddy Kane
Resident Alien
Horror City
Dino 5


Paul Huston, (amezaliwa 2 Aprili 1967[1]) anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii kama Prince Paul, ni DJ na mtayarishaji wa rekodi za muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani.[2] Pia alikuwa mmoja kati ya waanzilishi wa kundi la Gravediggaz ambamo alitumia jina la The Undertaker.

Awali alikuwa mwanachama wa Stetsasonic, ametayarisha vibao chungumzima katika maalbamu ya hip-hop kama vile albamu ya kwanza ya 3rd Bass ya 1989 The Cactus Album na albamu za kwanza tatu za De La Soul. Baada ya hapo akawaweka albamu mbili zakujitegemea kwa pamoja: Psychoanalysis: What is It? na A Prince Among Thieves, ambamo ndani yake kulikuwa na Big Daddy Kane, Xzibit, Kool Keith na Everlast.

Yeye, akiwana Frukwan wa Stetsasonic, Too Poetic wa Brothers Grimm, na The RZA wa Wu-Tang Clan, wameunda kundi la Gravediggaz.

Diskografia

[hariri | hariri chanzo]

Albamu za kujitegemea

[hariri | hariri chanzo]

Albamu za kolabo

[hariri | hariri chanzo]

Kazi alizotayarisha

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.imdb.com/name/nm1009731/
  2. Heimlich, Adam (21 Aprili 1999). "The artist currently known as Prince Paul". Salon (magazine). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-02. Iliwekwa mnamo 2 Februari 2011.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]