Nenda kwa yaliyomo

De La Soul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
De La Soul
De La Soul mjini Berlin (2004) David Jude Jolicoeur aka Dave (kushoto), Vincent Mason aka Maseo (wa katikati) na Kelvin Mercer aka Posdnous (kulia)
De La Soul mjini Berlin (2004)
David Jude Jolicoeur aka Dave (kushoto), Vincent Mason aka Maseo (wa katikati) na Kelvin Mercer aka Posdnous (kulia)
Maelezo ya awali
Asili yake East Massapequa / Amityville, Long Island, New York, Marekani[1]
Aina ya muziki Alternative hip hop
Miaka ya kazi 1987–present
Studio Tommy Boy/Warner Bros. Records
Sanctuary/BMG Records
Ame/Wameshirikiana na Prince Paul, A Tribe Called Quest, Mos Def, Jungle Brothers, Queen Latifah, Monie Love, Black Sheep, Gorillaz, dan le sac vs Scroobius Pip
Wanachama wa sasa
Posdnuos
Dave
Maseo


De La Soul ni kundi la muziki wa hip hop linalounganishwa na wasanii kutoka mjini Long Island, New York, Marekani.[2] Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1987. Kundi linafahamika sana kwa mtindo wao wa kuchukua sampuli za nyimbo nyingine na kufanya sampuli hizo kiumeme-umeme na mchango wao mkubwa katika kueneza mtindo wa jazz rap na alternative hip hop.

Wanachama wa kundi ni pamoja na Kelvin Mercer, David Jude Jolicoeur na Vincent Mason, wanafahamika kwa majina kadhaa ya utani. Watatu hao walianzisha kundi hili wakiwa sekondari na kupata mtawasha wa mtayarishaji wa rekodi za muziki wa hip hop bwana Prince Paul wakiwa na tepu ya mfano ya wimbo wa "Plug Tunin'".

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Scholtes, Peter S. (15 Oktoba 2004). "Still complicated: the De La Soul interview". City Pages. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-23. Iliwekwa mnamo 3 Aprili 2012.
  2. "De La Soul Discography". Discogs. Iliwekwa mnamo 3 Aprili 2012.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu: