Jungle Brothers

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jungle Brothers
Jungle brothers-mika.jpg
Maelezo ya awali
Asili yake New York City, Marekani
Aina ya muziki Hip hop, alternative rap, house, hip house
Miaka ya kazi 1987–hadi sasa
Studio Idlers/Warlock Records
Warner Bros. Records
Gee Street/V2/BMG Records
Jungle Brothers
XYZ Records
Ame/Wameshirikiana na A Tribe Called Quest
De La Soul
Queen Latifah
Monie Love
Black Sheep
Chi-Ali
Wanachama wa sasa
Mike Gee
Sammy B
Afrika Baby Bam
Wanachama wa zamani
Torture

The Jungle Brothers ni jina la kutaja kundi la muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Hawa hutazamiwa kama waazilishi wa hip hop yenye mchanganyiko wa jazz na kuwa kama kundi la kwanza la hip hop kutumia muziki wa house katika hali ya hip-hop na kumtumia mtayarishaji wa muziki huo katika kazi zao. Kundi lilianza kutumbuiza katikati mwa miaka ya 1980 na wakafanikiwa kutoa albamu yao ya kwanza, Straight Out the Jungle, mnamo mwezi wa Julai 1988.[1] Kwa mtindo wa kutengeneza biti na mashairi yenye asili ya Kiafrika, kina Jungle Brothers wakawa maarufu mno na punde wakaungana na kundi lenye athira kubwa katika hip hop la Native Tongues.[2] Wanachama wa awali unaunganishwa na Michael Small (Mike Gee), Nathaniel Hall (Afrika Baby Bam, kwa heshima ya Afrika Bambaataa) na Sammy Burwell (DJ Sammy B). Sammy B aliondoka kundini baada ya kundi kutoa Raw Deluxe in Mei 1997.[1]

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 Strong, Martin C. (2000). The Great Rock Discography, 5th, Edinburgh: Mojo Books, 523. ISBN 1-84195-017-3. 
  2. Jungle Brothers katika Allmusic

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Jungle Brothers