Theodosi I wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Theodosi I wa Aleksandria (alifariki 22 Juni 566) kuanzia mwaka 535 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 33 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Kumbe Waorthodoksi, baada ya muda mfupi wa kumkubali, walimkataa na kumfunga kwa miaka 28. Tangu hapo farakano halijaisha.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.