Polifonia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mstari wa muziki wa Johann Sebastian Bach "Fugue No.17 in A flat", BWV 862.

Polifonia (kutoka Kigiriki poli, yaani nyingi + fonia, yaani sauti; kwa Kiingereza "polyphony") ni mtindo wa kuimba kwa sauti nyingi pamoja bila ya kuvurugana, bali kwa kulingana vizuri.

Polifonia imestawi sana Afrika kusini kwa Sahara tangu zamani, halafu kwa utaalamu zaidi Ulaya wakati wa karne za kati, renaissance na baroko.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Polifonia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.