Nenda kwa yaliyomo

Peter Doi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Peter Tatsuo Doi (土井辰雄, Doi Tatsuo; 22 Desemba 189221 Februari 1970) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Japani.

Alihudumu kama Askofu Mkuu wa Tokyo kuanzia 1937 hadi kifo chake, na aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1960.[1]

  1. "Kōjimachi Catholic Church". Catholic Archdiocese of Tokyo (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-06-28. Iliwekwa mnamo 2023-07-06.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.