Nenda kwa yaliyomo

Pedofilia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Où mène la Licence, mchoro wa Martin van Maële, 1905.

Pedofilia (pia: pedofaili, pedofili; kutoka Kiingereza: pedophilia au paedophilia) ni matamanio binafsi ya ngono ya mtu mzima au kijana mkubwa[1] yanayoelekea hasa watoto wasiofikia bado umri wa ubalehe[2].

Hadi leo linahesabika kati ya maradhi ya nafsi[3][4] lakini utekelezaji wake[5] unaadhibiwa na sheria za nchi zote kama kosa la jinai[6] kutokana na madhara makubwa kwa watoto hao wanaoathirika kisaikolojia, kama si upande wa afya ya mwili, hata maisha yao yote [7][8][9].

Tabia hiyo inazidi kuenea kwa watu wasio na ugonjwa wa namna hiyo[6][10][11], ila wanajiingiza kwa hiari kuhusiana na ponografia pia [12].

  1. Gavin, Helen (2014). Criminological and Forensic Psychology. SAGE Publications. uk. 155. ISBN 978-1-84860-700-2. LCCN 2013938304. OCLC 867602647. OL 28507633M. Iliwekwa mnamo 2018-07-07.
  2. Diagnostic and Statistical Manual of Mental Disorders Text Revision, 5th Edition. American Psychiatric Publishing. 2022. ku. 794–796. ISBN 978-0-89042-575-6.
  3. Jahnke, Sara; Hoyer, Juergen (2013). "Stigma against people with pedophilia: A blind spot in stigma research?". International Journal of Sexual Health. 25 (3): 169–184. doi:10.1080/19317611.2013.795921. S2CID 145656359.
  4. Jahnke, S. (2018). "The stigma of pedophilia: Clinical and forensic implications". European Psychologist. 23 (2): 144–153. doi:10.1027/1016-9040/a000325.
  5. Hall RC, Hall RC (2007). "A profile of pedophilia: definition, characteristics of offenders, recidivism, treatment outcomes, and forensic issues". Mayo Clin. Proc. 82 (4): 457–71. doi:10.4065/82.4.457. PMID 17418075.
  6. 6.0 6.1 Ames, M. Ashley; Houston, David A. (Agosti 1990). "Legal, social, and biological definitions of pedophilia". Archives of Sexual Behavior. 19 (4): 333–42. doi:10.1007/BF01541928. PMID 2205170. S2CID 16719658.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "The young paedophiles who say they don't abuse children", BBC News, 2017-09-11. (en-GB) 
  8. "This man is a paedophile and he wants to tell the world about it". The Independent (kwa Kiingereza). 2017-01-07. Iliwekwa mnamo 2023-03-29.
  9. Clark-Flory, Tracy (Juni 20, 2012). "Meet pedophiles who mean well". Salon. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 2, 2021. Iliwekwa mnamo Septemba 12, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. Blaney, Paul H.; Millon, Theodore (2009). Oxford Textbook of Psychopathology. Oxford Series in Clinical Psychology (toleo la 2nd). Cary, North Carolina: Oxford University Press, USA. uk. 528. ISBN 978-0-19-537421-6. Some cases of child molestation, especially those involving incest, are committed in the absence of any identifiable deviant erotic age preference.
  11. Edwards, Michael. James, Marianne (mhr.). "Treatment for Paedophiles; Treatment for Sex Offenders". Paedophile Policy and Prevention (12): 74–75. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-27. Iliwekwa mnamo 2018-07-27.
  12. Lanning, Kenneth V. (2010). "Child Molesters: A Behavioral Analysis, Fifth Edition" (PDF). National Center for Missing and Exploited Children: 79. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka (PDF) kutoka chanzo mnamo 2022-05-13.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pedofilia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.