Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Pedofilia

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Katika upatanisho wa kisarufi, hili jina si sahihi. Bora liwe pedofaili, pedofilia, pedofili. Ni kheri kutohoa kama lilivyo kuliko kuweka madoido. Muddyb Mwanaharakati Longa 09:26, 19 Juni 2024 (UTC) [jibu]

Ndugu, aliyeanzisha makala hiyo, pamoja nayo alianzisha nyingine kwa majina ya namna hiyohiyo. Mimi niliyaacha kwa sababu sikuona mbadala, lakini pengine upo. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:05, 23 Juni 2024 (UTC)[jibu]