Pavlo Shandruk

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pavlo Feofanovich Shandruk

Pavlo Feofanovich Shandruk (Kiukrania: Павло Шандрук, Kipolandi:Pawło Szandruk,alizaliwa 28 Februari 1889 huko Volhynia - alifariki 15 Februari 1979 huko Trenton, New Jersey) alikuwa mkuu wa jeshi la Jamhuri ya kitaifa la Ukraina, kanali wa Jeshi la Poland, na kiongozi mkuu maarufu wa Jeshi la Taifa la Ukraina, kikosi cha kijeshi kilichopigana dhidi ya umoja wa Kisovyeti chini ya amri ya Nazi Ujerumani wakati wa Vita Kuu ya II ya dunia.[1]

Shandruk alizaliwa katika kijiji cha Borsuky, karibu na Kremenets katika Mkoa wa Volhynia, Urusi . Alimaliza masomo yake mwaka 1911 katika Taasisi ya Nizhyn iliyokuwa ikifundisha historia na lugha na baadaye kuhitimu katika Chuo cha Kijeshi cha Alexandrovsk huko Moscow.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pavlo Shandruk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. , http://www.galiciadivision.com/lib/shandruk «Arms of Valor» (Нью-Йорк 1959)title=gali: