Nenda kwa yaliyomo

Paul Berenger (mwigizaji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paul Berenger (mwigizaji)

Amezaliwa Paul Marcel Berenger
26 Machi 1991
Kazi yake mwigizaji wa Zimbabwe mwenye asili ya Australia


Paul Marcel Berenger (alizaliwa 26 Machi 1991), ni mwigizaji wa Zimbabwe mwenye asili ya Australia.[1]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Berenger alizaliwa mwaka 1991 katika jiji la Harare, kwa sababu ya hali mbaya ya kijiografia, Berenger alilazimika kuhamia nchini Australia.[1][2]

Taaluma[hariri | hariri chanzo]

Akiwa na umri wa miaka 11 alianza kutamani kuwa muigizaji baada ya kumuona ndugu yake akifanya maigizo ya jukwaani katika shule ya msingi Berenger alianza kuigiza akiwa shul;e ya msingi baada ya kuhamia Australia .[3] Berenger alitengeneza filamu yake ya kwanza mwaka 2008 Two Fists, One Heart. na kisha akaanza kutokea katika filamu mbalimbali kama Brittany, Die Krankenhaus, The Army Within na Impasse.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "Paul Berenger". pindula. Iliwekwa mnamo 24 Oktoba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Paul Berenger: Actor". zimbarts. Iliwekwa mnamo 24 Oktoba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Paul Berenger bio". co.zw. Iliwekwa mnamo 24 Oktoba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Berenger (mwigizaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.