Patroklo wa Bourges
Mandhari
Patroklo wa Bourges (Berry, Ufaransa, 496 hivi - La Celle, 576) alikuwa shemasi wa Bourges[1] aliyeamua kuwa mkaapweke huko Neris lakini watu wengi walimtafuta hata akaanzisha monasteri ya kike [2] halafu nyingine ya kiume na kuwa abati wake wa kwanza huko Colombier [3].
Habari zake ziliandikwa na Gregori wa Tours [4].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[5][6].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Novemba[7].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Jones, Allen E., Social Mobility in Late Antique Gaul, Cambridge University Press, 2009 ISBN 9780521762397 p. 325
- ↑ Akker s.j., A. van den. "Patroclus van Colombier", Heiligen,net
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/90436
- ↑ "Historia Francorum"
- ↑ Goyau, Georges. "Moulins." The Catholic Encyclopedia Vol. 10. New York: Robert Appleton Company, 1911
- ↑ Schäfer, Joachim. "Patroclus von Colombier", Ökumenischen Heiligenlexikon
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Church Calendar: November
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |