Nenda kwa yaliyomo

Pasquale Giannattasio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pasquale Giannattasio

Pasquale Giannattasio (15 Januari 19412 Machi 2002) alikuwa mwanariadha wa Italia ambaye alishinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 50 kwenye michezo ya ndani ya Ulaya mwaka 1967. Alikuwa sehemu ya timu ya Italia ya 4 × 100 m ya kupokezana vijiti iliyomaliza wa saba katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 1964.[1] Alishinda medali mbili za dhahabu akiwa na timu ya taifa ya kupokezana vijiti katika michezo ya mediterenia mwaka 1963 na 1967. Alishiriki katika mashindano 23 ya kimataifa kutoka mwaka 1963 hadi 1968. [2]

  1. https://web.archive.org/web/20200418012915/https://www.sports-reference.com/olympics/athletes/gi/pasquale-giannattasio-1.html
  2. Annuario dell'Atletica 2009. FIDAL. 2009.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pasquale Giannattasio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.