Pascal Yohana Haonga
Mandhari
Pascal Yohana Haonga (amezaliwa 8 Agosti 1981) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mbozi kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Haonga ni kabila la kinyia ambalo hutokea Mbozi mkoa wa songwe.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 13 Mei 2017 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pascal Yohana Haonga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |