Panda
Mandhari
Panda ni neno la Kiswahili linaloweza kumaanisha:
- Panda (kitenzi) – Ni tendo la kukwea katika miti.
- Panda (kitenzi) – Ni tendo la kuingia katika vyombo vya usafiri kwa mfano gari, pikipiki au baiskeli.
- Panda (kitenzi) – Ni tendo la kufukia mbegu ardhini katika kilimo.
- Panda (tawi) - matawi kama uma.
- Panda (muziki) - aina ya tarumbeta.
- Panda (mnyama) – wanyama wa porini: Panda Mkubwa na Panda Mwekundu katika oda Carnivora ambao hutokea Uchina na Himalaya.