Pablo Rosario

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pablo Rosario akichezea Nice mnamo 2022
Pablo Rosario akichezea Nice mnamo 2022

Pablo Paulino Rosario (alizaliwa 7 Januari 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Uholanzi ambaye anacheza katika klabu ya PSV na timu ya taifa ya Uholanzi kama kiungo.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Almere City[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 2014 Rosario alihamia katika klabu ya Almere City FC. Tarehe 7 Agosti 2015 alicheza kwa mara ya kwanza katika timu hiyo katika mechi waliotoka sare 3-3 nyumbani dhidi ya VVV-Venlo.Aliweza kuingia katika dakika ya 59 kama mbadala wa Soufyan Ahannach.

PSV Eindhoven[hariri | hariri chanzo]

Tarehe 25 Julai 2016, Pablo Rosario alisaini mkataba wa miaka minne(4) katika klabu PSV Eindhoven iiliyopo Uholanzi.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pablo Rosario kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.