Pablo Aimar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pablo Aimar

Pablo Aimar (alizaliwa 3 Novemba 1979) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani na sasa ni kocha wa timu ya mpira wa miguu ya vijana wa miaka 17.

Alikuwa mshambuliaji wa timu ya taifa ya Argentina, akiwakilisha taifa katika Kombe la Dunia la FIFA mara mbili na mashindano mawili ya Copa América.

Alianza kucheza mpira mnamo mwaka 1996. Pablo Aimar alipata kofia 52 kupitia timu yake ya Argentina.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pablo Aimar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.